Ili ujisajili, ingiza namba yako ya simu kwa usahihi kwenye kisanduku juu, upande wa kushoto. Alafu bonyeza kitufe kilichoandikwa REGISTER
Kuingia tena kwenye akaunti ya kitita uliyokwisa kujisajili, ingiza namba yako ya simu kwa usahihi kwenye kisanduku juu, upande wa kushoto. Alafu bonyeza kitufe kilichoandikwa LOGIN
Ili kuweka fedha kwenye akaunti yako ya kitita, bonyeza neno liliyoandikwa DEPOSIT, juu upande wa kushoto. Alafu tuma fedha unazotaka kuweka kwenye akaunti yako ya kitita kwenda kwenye namba za simu zitakazoonekana. Kwa kutumia namba zako za simu ulizosajili kwenye kitita.
Baada ya kutuma hela, hela uliyotuma itaongezeka sehemu iliyoandikwa DEPOSITED, juu upande wa kushoto. Na hela hii ndio utaweza kuitumia kucheza kitita.
Kuanza kucheza jaza kwenye kisanduku kilichoandikwa DEPOSITED / STAKE, kiasi unachotaka kutumia kucheza, alafu bonyeza kitufe cha ROTATE. Gurudumu litazunguka na kusimama. Baada ya kusimamam kiasi kitakachokuwa kinaelekewa na mshale wa chini ndio kitakua kiasi utakacholipwa.
Kama ulicheza kwa kutumia dau lililoandikiwa DIRECT PAYMENT(YOU WILL BE PAID DIRECT.), kiasi cha kulipwa kitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako upande wa WITHDRAWABLE. Na unaweza kuanza kutoa kiasi hicho ulichoshinda muda huo huo na kitatumwa kwenye namba yako ya simu uliyosajili kwenye kitita.
Kama ulicheza kwa kutumia dau lililoandikiwa TIMELY COLLECT(YOU WILL HAVE TO COLLECT WINNING AMOUNT ON TIME.) PAYMENT, kiasi cha kulipwa kitatengenezewa tiketi ya muda ambao unatakiwa kucollect malipo yako na ukifanikiwa kiasi cha ushindi wa tiketi hiyo kitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako upande wa WITHDRAWABLE. Na unaweza kuanza kutoa kiasi hicho ulichoshinda muda huo huo na kitatumwa kwenye namba yako ya simu uliyosajili kwenye kitita.
Ukishindwa kukusanya kiasi cha malipo ya TIMELY COLLECT(YOU WILL HAVE TO COLLECT WINNING AMOUNT ON TIME.) PAYMENT, kwa muda maalum uliopangiwa basi tiketi ya kiasi hiko cha itakuwa ime EXPIRE.
Kutoa hela bonyeza neno WITHDRAW lililopo juu upande wa kushoto, na itafunguka sehemu ya kujaza kiasi unachotaka kutoa. Ukishajaza kiasi unachotaka kutoa bonyeza tena kitufe cha chini kilichoandikwa TOA, na hela yako itatumwa moja kwa moja kwenye namba yako uliyosajili kwenye kitita.
Kiasi cha chini cha kutoa ni 1,000/= na kiasi chako cha juu cha kutoa ni asilimia 5% ya jumla ya kiasi chote ulichodeposit kwenye akaunti yako.
Utaweza kucheza kwa kutumia salio lako la upande wa DEPOSITED tu, na utaweza kutoa hela ya salio lako la upande wa WITHDRAWABLE tu.
Pia utalipwa kamisheti ya asilimia 5% ya kiasi chochote ambacho mtu uliyemualika kujisajili kwenye kitita atadeposit kwa mara ya kwanza. Ili kumualika mtu na kupokea malipo ya kamisheni unatakiwa kukopi link yako ya referral na kumtumia mtu aifungue na baada ya kuifungua, ajisajili muda huo huo. Link yako ya referral ipo juu ya haya maelezo na utaiona ukiwa umeshajisajili na kuingia kwenye akaunti yako ya kitita.